FLASH


Wednesday, January 23, 2013

JIJI LA MWANZA LATIKISWA NA MKUTANO WA CCM ULIOFANYIKA MANISPAA YA NYAMAGANA

MKUTANOKatibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Bw. Nape Nnauye, akihutubia maelfu ya wananchi waliofurika kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Nyamagana, jijini Mwanza jana ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu Mwenyekiti wa
chama chicho Bara, Bw. Philip Mangula.

No comments:

Post a Comment