FLASH


Monday, December 2, 2013

MKUTANO MKUU CCM MZUMBEwww.ccmmzumbe.blogspot.com
Mjumbe wa mkutano mkuu  wa Taifa CCM Hassan Bomboko akihutubia mkutano mkuu wa CCM tawi maalum Chuo Kikuu Mzumbe
Mwenyekiti Mstaafu wa Tawi maalumu Chuo kikuu Mzumbe nashirikisho la vyuo vikuu morogoro akitoa mada kuhuu uimarishaji wa CCM na utekelezaji wa ilani


 


Mjumbe wa baraza la vijana Mkoa wa Mara na Mjumbe wa kamati ya utekelezaji Tawi maalum Chuo Kikuu Mzumbe Boniphace Maiga Juma akitoa mada kuhusu Uongozi na Viongozi ndani ya CCm

WADAU MAMBALI WAKIFUATILIA MKUTANO MKUU

Mjumbe wa mkutano mkuu wa tawi Pius Gabriel na wadau wengine wakifuatilia mkutano


 


Mmoja kati ya makada wa CCM na muasisi wa Tawi maalum chuo kikuu cha Daressalam akitafakari jambo wakati wa mkutano
Hapa akichangia jambo ,pembeni yake ni Rosta Kapinga mjumbe wa mkutano


Mwanyaketi wa UWT Tawi la mzumbe nae alikuwepo


Mwenyekiti wa UVCCM tawi maalum chuo kikuu mzumbe nae alikuwepo
Meza kuu ikifuatilia mjadala kutoka kushoto ni mwenyekiti Akida  Hamisi ,Mgeni Rasmi Hassan Bomboko,Katibu Elly Ketoka na Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya ulanga Mkuku .
Katibu wa Tawi maalum chuo kikuu mzumbe akisoma taarifa ya mafanikio na changamoto zilizopo.

Hapa ni muda wa kuvuna wanachama wapya na huyu ni mmoja kati ya walio hamia ccm kutokea CHADEMA meza kuu kwa furaha wakimkaribisha.
Katibu wa UWT tawi la mzumbe akimpongeza na kumpokea kwa furaha kijana mwenzetu kwa uamuzi wa furaha.