FLASH

Friday, January 25, 2013

Hongera Makamu Mwenyekiti CCM BARA

MIONGONI MWA KAZI ALIZOFANYA MAKAMU MWENYEKITI CCM BARA PHILIP MANGULA
TUMECHOKA NA SIASA ZA UKANDA! WANACHAMA WAPYA WALIOTOKA CHADEMA NA KUHAMIA CCM, KWA PAMOJA WAKILA KIAPO MBELE YA KATIBU MKUU WA CCM PHILIPO MANGULA 
(WA KWANZA KULIA) NA WAPILI YAKE NI MWENYEKITI WA CCM MKOA WA MWANZA NDUG:  ANTON DIALO.
TUMECHOKA NA SIASA ZA UKANDA! WANACHAMA WAPYA WALIOTOKA CHADEMA NA KUHAMIA CCM, KWA PAMOJA WAKILA KIAPO MBELE YA MAKAMU MWENYEKITI CCM  BARA PHILIPO MANGULA
(WA KWANZA KULIA) NA WAPILI YAKE NI MWENYEKITI WA CCM MKOA WA MWANZA NDUG: ANTON DIALO.

Hivi ndivyo safari ya miaka 36 ya CCM inavyoanza kuelekea Kigoma

Kuongoza ni kuonyesha njia...!kila raheli Katibu Mkuu wa CCM Taifa Kinana
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi akizungumza na wanachama na makada mbalimbali wa CCM katika stesheni ya treni Dar, alipokuwa akijiandaa kusafiri kwa treni kuelekea mjini Kigoma ambapo kutakuwa na maazimisho ya miaka 36 ya Chama Cha Mapinduzi.
Kuongoza ni kuonyesha njia...!