FLASH


Tuesday, February 16, 2016

IDARA YA UENEZI SHIRIKISHO MORO

SHIRIKISHO LA VYUO VIKUU MKOA WA MOROGORO
TAARIFA YA IDARA YA UENEZI NA HAMASA
Kidumu chama cha mapinduzi katika hali ya kukijenga chama chetu cha CCM hasa kwa ngazi ya wasomi
Idara ya uenezi na hamasa imeteua wajumbe 16 wa idara ya hamasa na uenezi
1: katibu mwenezi wa seneti
2:katibu hamasa wa seneti
3: Ndg Tedy Girosa( Motco)
4:Ndg Benson Kingdom(sua)
5:Ndg Butindi Masatu(Lita)
6:Ndg  Chiako(mum)
7:Ndg Maswi maswi(jordan)
8:Ndg steven pess(ardhi)
9: Ndg dr Zainabu(st Francis)
10: Ndg Leila Jumbe(st joseph)
11:Ndg Gwasa(open)
12:katibu mwenezi mzumbe
13:Ndg antony mhando(abood radio)
14:Ndg Emmanuel Victor(abood tv)
Barua za kuteuliwa zipo tayari mtazipata
Pia idara ya hamasa na uenezi imeandaa darasa la itikadi siku ya jumamosi tarehe 20/2/2016 katika ukumbi wa ccm mkoa muda saa mbili kamili  asubuhi mpaka saa sita kamili mchana
Washiriki
makatibu wa matawi
makatibu hamasa wote wa matawi
makatibu wenezi wote wa matawi
wajumbe wote wa kamati ya idara ya hamasa na uenezi
Aidha viongozi wa matawi muwape taarifa wahusika wa hili darasa la itikadi
Washiriki wote mnaombwa muwakilishe mchango wa sh 3000/= kwa kila mshiriki kwa  makatibu wa matawi kwa ajili ya KUTENGENEZA VYETI VYA USHIRIKI
NB:makatibu wafikishe hyo michango kwa mchumi wa mkoa kabla ya ijumaa
IMETOLEWA NA IDARA YA HAMASA NA UENEZI

Comrade kimako jr
Katibu hamasa shirikisho la vyuo vikuu mkoa wa Morogoro
16/2/2016