FLASH


Sunday, May 12, 2013

KARIBU IGUNGA MHE.DALALI KAFUMU


KILA RAHELI KWA MAKADA WOOOOTE HUKO IGUNGA HAKIKA MWENYEKITI HAKUKOSEA KWA KUSEMA UMOJA NI USHINDIHapa Mtela Mwampamba na Saluum Hapi na makada wengine katika maandalizi huko igunga
Ktoka kushoto ni kada Mtela Mwampamba ,Mkuu wa wilaya ya Igunga Ndg.Kingu na Kada Saluum Hapi katika maandalizi ya mkutano mkubwa utakaohutubiwa na Katibu Itikadi na Uenezi Taifa CCM Nape Moses Nauye