FLASH


Thursday, March 7, 2013

TUISHI KWA AMANI

KWA HERI Benson  Mollel MJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA -ARUSHA


Photo: LEO NDIYO BENSONI MOLELI KAMALI SAFARI YAKE YA HAPA DUNIANI 
NAWASHUKURU SANA VIJANA WOTE WA UVCCM WILAYA YA ARUSHA MJINI KWA USHIRIKIANO MKUBWA WALIY0 ONYESHA
 NAISHUKURU SERIKALI YETU YA CCM KWA  KUTUPA USHIRIKIANO TANGU MSIBA HADI LEO 
NASHUKURU UVCCM TAIFA KWA USHIRIKIANO WAO KUPITIA KTB MKUU NDUGU MARTINI SHIGELA 

MUNGU AWABARIKI NYOTE AMENI


Wazazi wa aliyekuwa mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa vijana wa CCM (UVCCM)marehemu Benson Mollel,Suzana na Peter Mollel wakiweka shada la maua katika kaburi la marehemu mtoto wao jana nyumbani kwao Lemara jijini Arusha.Picha na Moses Mashallah