Kuongoza ni kuonyesha njia...!kila raheli Katibu Mkuu wa CCM Taifa Kinana
Katibu
Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi akizungumza na wanachama na makada
mbalimbali wa CCM katika stesheni ya treni Dar, alipokuwa akijiandaa
kusafiri kwa treni kuelekea mjini Kigoma ambapo kutakuwa na maazimisho
ya miaka 36 ya Chama Cha Mapinduzi.
Kuongoza ni kuonyesha njia...!
No comments:
Post a Comment