FLASH


Monday, February 15, 2016

MKUTANO MKUU CCM TAWI MAALUM MZUMBE WAFANA

MKUTANO MKUU WA WANACHAMA CCM TAWI MAALUM MZUMBE WAFANATarehe 14.02-2016 mwenyekiti wa ccm tawi maalum chuo kikuu mzumbe ndugu.AHMEDY OMARY Aliitisha mkutano mkuu wa chama ili kujadili ,kujifunza na kukumbushana mambo mbalimbali yanayoendana na miongozo maelekezo ,kanuni,tratibu na katiba ya chama cha mapinduzi

mkutano mkuu huo unafuatia baada ya uongozi mpya kuchaguliwa mapema mwezi uliopita ,pia mkutano huo ulihudhuriwa na mgeni rasmi Mhe.Kingu diwani kata ya mzumbe,pia makada na macomrade mbalimbali wakiongozwa na Malik Malupu,walitoa michango mbalimbali wengine ni Boniphace Maiga ambaye  ni mjumbe baraza la vijana mkoa wa Mara na Mlezi UvCCM kata ya Iramba Bunda,Mhe.Yona Habiye,Kimako ambaye pia ni katibu hamasa shirikisho mkoa Morogoro

kikubwa kilichosisitizwa ni kuhakikisha kuwa dhana ya chama inapewa kipaumbele kuliko ubinafsi ,pia kuiishi kwa vitendo kauli mbiu ya SASA KAZI TU,KUIJENGA NCHI NA KUKIJENGA CHAMA

PICHAZA MATUKIO YOTE ZITAPATIKANA HAPA PUNDE.

3 comments: